PICHA + VIDEO:Oboma asema hawatoshiriki mmoja kwa mmoja kwenye Vita vya Iraq na ISIS yapata Ghanima ya Ndege na Magari za Kivita.

Saturday June 21, 2014 - 08:11:08 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4515
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    PICHA + VIDEO:Oboma asema hawatoshiriki mmoja kwa mmoja kwenye Vita vya Iraq na ISIS yapata Ghanima ya Ndege na Magari za Kivita.

    Kiongozi nchini Marekani amesema hawatoingilia kijeshi kwenye vita vinavyoendelea nchini Iraq ambapo siku za mwisho kuliko na mabadiliko makubwa upande wa kijeshi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mmoja ya Ndege za Kivita zilizochukuliwa na Mujahidina wa ISIS nchini Iraq.
Kiongozi nchini Marekani amesema hawatoingilia kijeshi kwenye vita vinavyoendelea nchini Iraq ambapo siku za mwisho kuliko na mabadiliko makubwa upande wa kijeshi.

Obama amesema wako tayari kutuma wanajeshi 300 kwenda Baghdaad watakao fundisha Jeshi la Iraq na siyo kushiriki mmoja kwa mmoja kwenye vita vya chini nchini Iraq.

Upande mwingine Vikosi vya Mujahidina wa ISIS wameonyesha Picha kuhusiana na Mapigano yalioingia rikodi kwenye Mkoa wa Neynawa kaskazini mwa Ardhi ya Iraq.

Kwenye Picha hizo zilizonyeshwa na Mujahdina wa Dola ya Kislaam wa Iraq na Shaam zilikuwa pamoja na Ndege 4 za Kivita zilizokuwa katika Uwanja wa Ndege wa Neynawaa na Makumi ya Magari za Kivita ambazo Mujahidina wameupata kwenye Ma'rika ya Neynawa nchini Iraq.TIZAMA VIDEO HAPA CHINI

Related Items