Milipuko na Risasi yasikika katika mji wa Wajear nchini Kenya.

Monday December 01, 2014 - 22:44:31 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3138
  • (Rating 4.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Milipuko na Risasi yasikika katika mji wa Wajear nchini Kenya.

    Milipuko kadhaa na milio ya silaha yamesikika usiku huu ndani ya mji wa Wajear Kaskazini mashariki mwa Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Milipuko kadhaa na milio ya silaha yamesikika usiku huu ndani ya mji wa Wajear Kaskazini mashariki mwa Kenya.Waandishi walioko mji wa Wajear wanaarifu kuwa Watu waliokuwa wamejihami na Silaha wameshambulia kituo kikuu cha Polisi cha mji huo pamoja na Majengo ya Wilaya na kuna ufyatuanaji mkubwa wa risasi unaendelea.
Habari zaidi zinaeleza kuwa washambuliaji wameshambulia Klabu mmoja ya Usiku ambapo kulikuwa na Manaswara Raia wa Kenya,hali katika mji huo ni mbaya na kunahofiwa mashambulio hayo kusababisha hasara ya vifo vya watu na Majeruhi.

Related Items