PICHA:Watu 37 wauawa kwenye mashambulio mengine mapya yaliofanyika nje ya mji wa Mandera.

Tuesday December 02, 2014 - 22:56:49 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3162
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Watu 37 wauawa kwenye mashambulio mengine mapya yaliofanyika nje ya mji wa Mandera.

    Habari kutoka Ardhi ya Waislaam wa Somalia inayoshikiliwa na Utawala wa Kenya unaojulikana Kaskazini Mashariki unaeleza kuwa mashambulio mengine mapya yamefanyika na kuawa takriban wakristo 40.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Ardhi ya Waislaam wa Somalia inayoshikiliwa na Utawala wa Kenya unaojulikana Kaskazini Mashariki unaeleza kuwa mashambulio mengine mapya yamefanyika na kuawa takriban wakristo 40.

Picha kadhaa zilizosambazwa na vyombo vya habari nchini Kenya iliwaonyesha watu waliokuwa wamepangwa kwa safu na kupigwa risasi vichwani.

Vyanzo muhimu vinaeleza kuwa washambuliaji waliwauliza kwanza kabla ya kuwaua baadhi ya maswali huko wakiwatenganisha watu kwa tofauti zao za kidini ya ukristo na Uislaam ukiruhusiwa kuondoka na wakristo wakiuawa papo hapo.

Related Items