PICHA:Wilayatul Islamiah ya L/Shabelle yakamata Simba waliowindwa kinyume na sheria na kutoa onyo.

Tuesday December 02, 2014 - 22:58:57 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3156
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Wilayatul Islamiah ya L/Shabelle yakamata Simba waliowindwa kinyume na sheria na kutoa onyo.

    Sheikh Mohamed Abuu Abdallah Waali wa Wilayatul Islamiah ya Lower Shabelle leo usiku amezungumza na Idhaa ya Kiislaam ya Radio Al Andalus na kuelezea mapigano makali yaliofanyika dhidi ya Wanajeshi wa kigeni.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Sheikh Mohamed Abuu Abdallah Waali wa Wilayatul Islamiah ya Lower Shabelle leo usiku amezungumza na Idhaa ya Kiislaam ya Radio Al Andalus na kuelezea mapigano makali yaliofanyika dhidi ya Wanajeshi wa kigeni."Vita inayopamba moto katika mkoa wa Lower Shabelle imefanyika maeneo mbalibali ya mkoa,na harakati ya mwisho ilikuwa eneo inayojulikana E'el Garuun ambapo jana usiku ulifanyika mapigano",alisema Sheikh Abuu Abdallah.Abuu Abdallah amegusia kwenye mazungumzo yake na mauaji ya kupangwa dhidi ya makachero wa Serikali ya FG ambapo ulifanyika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Lower Shabelle.


Kwenye mazungumzo yake marefu anazungumzia pia hali ya wanajeshi wa AMISOM pamoja na vita ambayo Wilaytul Islamiah inakabiliana na watu wanaojishugulisha na Biashara ya uwindaji haramu kinyume na Sheria pamoja na wakulima wa mihadharati wa Bangi.


01 (1)01 (2)01 (3)01 (4)01 (5)01 (6)01 (7)01 (8)01 (8)


Related Items