Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya afukuzwa kazi na Kamishn mkuu wa Polisi atangaza kujiuzulu.

Tuesday December 02, 2014 - 23:04:20 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2794
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya afukuzwa kazi na Kamishn mkuu wa Polisi atangaza kujiuzulu.

    Rais Uhuru Kenyatta wa nchini Kenya amemfukuza kazi waziri wa masuala ya ndani Joseph Olelenku baada ya kufeli kusimamia usalama wa ndani wa nchi hiyo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Rais Uhuru Kenyatta wa nchini Kenya amemfukuza kazi waziri wa masuala ya ndani Joseph Olelenku baada ya kufeli kusimamia usalama wa ndani wa nchi hiyo.Taarifa Rasmi iliyotolewa na Ikulu ya Kenya imetaja kumfukuza kazi Waziri wa Mambo ya Ndani saa chache baada ya kuawa makumi ya Wakristo ambapo Harakat Al-Shabab Al Mujahideen umetangaza kutekeleza mjini Mandera.
Hata hivyo Kamishna mkuu wa Polisi nchini Kenya David Kimaiyo ametangaza kujiuzulu nyadhifa wake,vikao mbalimbali unaohusiana na hali ya usalama nchini Kenya unaendelea ndani ya Ikulu ya Kenya,Waandishi wa habari wanasema mashambulio yanayotekelezwa na Mujahidina wa Somalia umesababisha mbali na mauaji kadhaa ya wakenya pia hali mbaya ya kisiasa nchini humo.Fuatilia yatakayojiri

Related Items