Sheikh Abdurahman Hudeyfa aelezea namna Mujahidina walivyoweza kuudungua Ndege ya Kivita ya Kenya.

Thursday December 04, 2014 - 22:08:52 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3817
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Sheikh Abdurahman Hudeyfa aelezea namna Mujahidina walivyoweza kuudungua Ndege ya Kivita ya Kenya.

    Wilayatul Islamiah ya Lower Jubba umetolea ufafanuzi zaidi kuhusiana na kudunguliwa kwa Ndege mmoja ya kivita inayomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye maeneo ya Mkoa wa Lower Jubba.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kikosi cha Anga cha Harakat Al-Shabab Al Mujahideen.
Wilayatul Islamiah ya Lower Jubba umetolea ufafanuzi zaidi kuhusiana na kudunguliwa kwa Ndege mmoja ya kivita inayomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye maeneo ya Mkoa wa Lower Jubba.Sheikh Abdurrahman Hudeyfa ambae ni Waali wa Wilayatul Islamiah ya Lower Jubba amesema alipokuwa akizungumza na Idhaa ya Kiislaam ya Radio Al Andalus iliyo chini ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kuwa Mujahidina wa kikosi cha Angani walifanikiwa kwa uwezo wa Allah kuiteremsha chini Ndege hiyo dakika chache tu baada ya kumaliza kufanya mashambulio ya angani kwenye eneo la Araare nje ya mji wa Jamame.
Amesema mmoja ya Silaha miongoni mwa silaha kwajili ya kuangushia ndege iliipata Ndege hiyo na hatimae kuangukia kijiji cha Daseg-Wamo iliyo karibu na mji wa Kismaayo,baadhi ya vikosi vya Al-Shabab waliweza kufika eneo iliyoangukia ndege hiyo na kufanya uchunguzi zaidi miili ya Marubani wawili waliokuwa kwenye ndege hiyo ambao wote waliangamia na mabaki ya ndege.Related Items