UFAFANUZI:Mlipuko uliosababisha hasara yafanyika mji wa Baydoba.

Sunday December 07, 2014 - 23:02:26 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1645
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    UFAFANUZI:Mlipuko uliosababisha hasara yafanyika mji wa Baydoba.

    Kuna maelezo zaidi kuhusiana na mlipuko mkubwa uliosababisha hasara ambao ulifanyika jana katika mji wa Baydoba makao makuu ya mkoa wa Bay.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kuna maelezo zaidi kuhusiana na mlipuko mkubwa uliosababisha hasara ambao ulifanyika jana katika mji wa Baydoba makao makuu ya mkoa wa Bay.


Takriban watu 12 wamepoteza maisha kufuatia milipuko miwili huko watu wengine 35 wakijeruhiwa vibaya katikati mwa mji wa Baydoba,wengi wa waliouawa kwenye mlipuko huo ni wanasiasa pamoja na wazee wanaowakilisha mikoa mitatu yaliojitangazia kujitawala.Duru zinaeleza kuwa majeruhi wa shambulio hilo waliolazwa jana usiku katika Hospitali kuu ya mji wa Baydoba wamepoteza maisha usiku wa manane.


Hassan Lug Guur ambae alkuwa mwenyekiti wa mkutano wa Mikoa mitatu alijeruhiwa vibaya kwenye shambulio hilo huko makamu wake akiuawa kutokana na mkasa huo.


Vyanzo muhimu vilieleza kuwa mmoja wa mashambulio hayo ililengwa mkutano uliokuwa ukiendelea kwa maofisa wa Utawala wa Jimbo la Bay na Bakool ambae mkuu wake akiwa Sharif Hassan anae fanya kazi na Ethiopia.


Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu

Related Items