Milipuko mikubwa yatikisa mji wa Godey Ardhi ya wasomali wa Ethiopia.

Sunday December 07, 2014 - 23:06:30 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2651
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Milipuko mikubwa yatikisa mji wa Godey Ardhi ya wasomali wa Ethiopia.

    Habari kutoka katika Ardhi inayojulikana Somaligalbeed yaani Magharibi mwa Ardhi ya Somalia inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Ethiopia umetikiswa na milipuko mikubwa kwenye mji wa Godey.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka katika Ardhi inayojulikana Somaligalbeed yaani Magharibi mwa Ardhi ya Somalia inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Ethiopia umetikiswa na milipuko mikubwa kwenye mji wa Godey.

Duru za kuaminika zinaeleza kuwa milipuko miwili ililengwa katika Hoteli waliokuwemo maofisa wa Jeshi la Serikali ya Ethiopia pamoja na viongozi wa Utawala wa Kisomali wanaoiunga mkono Ethiopia.

Mahoteli ya Royal na Warder imeharibiwa vibaya kutokana na uzito wa milipuko huo,magari ya kubebea wagonjwa ilifika eneo la tukio huko yakionekana kuwachukua walioathirika na milipuko hizo.Serikali ya Ethiopia isiyokubali uhuru wa vyombo vya habari inajaribu kuficha uwepo wa milipuko hizo na hasara iliyosababisha,habari zaidi zinaeleza kuwa mawasiliano ulikatika kwa muda wa masaa kadhaa katika mji wa Godey.Related Items