Vikosi vya Al-Shabab waingia kwa vita katika mji wa Qoryoley mkoani L/Shabelle.

Wednesday December 10, 2014 - 22:23:03 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2074
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Al-Shabab waingia kwa vita katika mji wa Qoryoley mkoani L/Shabelle.

    Makabiliano makali yamefanyika katika kipindi cha masaa kadhaa yaliopita kwenye Miji na vijiji yaliopo Mikoa ya Kusini na Katikati mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Makabiliano makali yamefanyika katika kipindi cha masaa kadhaa yaliopita kwenye Miji na vijiji yaliopo Mikoa ya Kusini na Katikati mwa Ardhi ya Somalia.Habari kutoka mji wa Qoryoley zinaeleza kuwa Vikosi vya Mujahidina walifanya mashambulio makubwa katika mji huo na kukabiliana vikali na Wanajeshi wa Misalaba wa AMISOM.
Mapigano hayo yalikuja wakati ambapo Mujahidina walipofanya mashambulio ya pembe tatu ndani ya mji huo,wakaazi walisema walisikia milio ya silaha nzito pamoja na Risasi za Rashasha ambayo pande zilizokabiliana walikuwa wakirushiana.Mji wa Qoryoley ni baadhi ya maeneo yalioingia mikononi mwa Maadui mwanzoni mwa mwaka huu licha ya hayo Waislaam baado wanaonyesha upinzani mkali kwa Wavamizi wa Sheria za Allah.

Related Items