Maelezo:Makabiliano makali yaliosababisha Mujahidina kuchukua Silaha na Magari za Kivita katika mkoa wa Hiraan.

Friday December 12, 2014 - 22:14:05 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1719
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Maelezo:Makabiliano makali yaliosababisha Mujahidina kuchukua Silaha na Magari za Kivita katika mkoa wa Hiraan.

    Habari kutoka mkoani Hiraan zinaeleza kuwa kumefanyika mapigano makali kwenye kijiji cha Kalabeyr nje kidogo ya mji wa Baladweyne.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Hiraan zinaeleza kuwa kumefanyika mapigano makali kwenye kijiji cha Kalabeyr nje kidogo ya mji wa Baladweyne.Mapigano hayo yalikuja pale Mujahidina wa Al-Shabab walipofanya mashambulio makali dhidi ya Wanamagmbo wanaowasaidia Wanajeshi wa Kihabeshi ambapo waliweka Beria kwenye Barabara ya lami.
Duru za kuaminika ililiambia SomaliMemo kuwa Kikosi cha Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamefanikiwa kuchukua kutoka kwa Wanamgambo hao Gari aina ya kijeshi,na silaha 4 za Ak47 huko wakiteketeza Gari mmoja aina ya Landcrueser au "Abdi Bile" iliyokuwa na silaha kubwa.Watu waliokuwa katika kijiji cha Jawiil wamesema walisikia milio ya Risasi na silaha nzito waliokuwa wakirushiana pande zilizokabiliana,kwa zaidi ya miaka 20 eneo la Kalabeyr ilikuwa eneo iliyoathiriwa na Wanamgambo wa kisomali wanaosaidiana na wanajeshi wa Ethiopia kwa kuchukua pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi wanaotumia Barabara ya Lami.

Related Items