Mlipuko iliyowaua Maaskari yafanyika kwenye eneo la Galgala nje ya mji wa Bosaaso.

Friday December 12, 2014 - 22:17:55 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1450
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mlipuko iliyowaua Maaskari yafanyika kwenye eneo la Galgala nje ya mji wa Bosaaso.

    Habari kutoka Jimbo la Mashariki mwa Somalia zinaarifu kuwa kumetokea mlipuko mkubwa uliosababisha hasara ambao ulilengwa Maaskari wa kupambana na Uislaam wa Utawala uliojiita wa Puntland.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Jimbo la Mashariki mwa Somalia zinaarifu kuwa kumetokea mlipuko mkubwa uliosababisha hasara ambao ulilengwa Maaskari wa kupambana na Uislaam wa Utawala uliojiita wa Puntland.Mlipuko mkubwa umewazingira msafara wa Magari waliokuwa Maaskari wa kupambana na Ugaidi ambapo hufanya kazi chini ya mashairika ya kijasusi kutoka mataifa ya Magharibi na Marekani.
Duru za kuaminika zinaeleza kuwa Gari mmoja aina ya Kijeshi waliokuwa nao Maaskari wataalamu wa kuchunguza Mabomu ya kutegwa Ardhini ilizigirwa na mlipuko uliokuwa na kishindo kikubwa na hatimae Gari hilo iliteketea mahali hapo.Kwa uchache Maaskari 5 wameuawa kwenye mlipuko huo ambapo mmoja kati ya hao alikuwa na cheo cha juu huko upande wa Adui akikiri vifo vya Maaskari wake 3,watu walioko Galgala walisema kuwa walisikia kishindo kikali cha mlipuko wa Bomu.

Related Items