Vituo vya AMISOM yalioko nje ya mji wa Mugadishu yashambuliwa.

Sunday December 14, 2014 - 08:23:16 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1482
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vituo vya AMISOM yalioko nje ya mji wa Mugadishu yashambuliwa.

    Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa mapigano makali yametokea maeneo yalioko chini ya Wilaya ya Lafole nje kidogo ya mji wa Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa mapigano makali yametokea maeneo yalioko chini ya Wilaya ya Lafole nje kidogo ya mji wa Mugadishu.Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya mashambulio makubwa jana usiku kwenye vituo vya Wanajeshi wavamizi wa Misalaba AMISOM yalioko Makaazi ya Arba'ow na E'el Garuun.Wakaazi walisema walisikia milio ya risasi pamoja na silaha nzito waliokuwa wakirushiana pande zilizokabiliana.


Maeneo mengi yaliovamiwa na Wanajeshi wa Misalaba AMISOM kwenye mkoa wa Lower Shabelle hufanyika mashambulio na milipuko yanayolengwa dhidi ya Maadui hao wavamizi katika Ardhi ya Somalia.

Related Items