Taliban yawaua Maaskari wa Kimarekani nje ya mji wa Kabul nchini Afghanistaan.

Sunday December 14, 2014 - 08:25:49 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1803
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Taliban yawaua Maaskari wa Kimarekani nje ya mji wa Kabul nchini Afghanistaan.

    Mujahidina wa Imartul Islamiah ya Afghanistaan wametangaza kutekeleza shambulio iliyosababisha hasara kwenye eneo iliyo karibu na mji wa Kabul.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mujahidina wa Imartul Islamiah ya Afghanistaan wametangaza kutekeleza shambulio iliyosababisha hasara kwenye eneo iliyo karibu na mji wa Kabul.Sheikh Dabihullah Mujahid ambae ni Msemaji mkuu wa Mujahidina wa Taliban amesema alipozungumza na vyombo vya habari kuwa mlipuko ulilengwa Gari ya Kijeshi waliokuwa nalo Wanajeshi wa Marekani na kuwaua 5.Habari zaidi zinaeleza kuwa Gari iliyozingirwa na mlipuko huo umeteketea sana,katika makaazi ya Barawaan iliyofanyika shambulio hilo walifika ndege za kivita inayomilikiwa na Marekani huko wakichukua miili ya wanajeshi waliouawa na kujeruhiwa.


Mujahidina wa Afghanistaan wametishia kuongeza mashambulio yao dhidi ya Maadui hadi hapo watakapoondoka kutoka nchi hiyo ya Khurasaan.


80% ya Ardhi ya Afghanistaan hutawaliwa na wapiganaji wa Taliban isipokuwa katika miji mikubwa yanayodhibitiwa na Wanamagmbo wanaoiunga mkono Serikali Kibaraka ya Hamid Karzai.

Related Items