Bunge la Kenya yapitisha Sheria mpya ya kupambana na Ugaidi! Maelezo.

Sunday December 14, 2014 - 08:28:15 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3042
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Bunge la Kenya yapitisha Sheria mpya ya kupambana na Ugaidi! Maelezo.

    Wakati ambapo Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ikiongeza kasi ya mashambulio yake inayoilenga Serikali ya Kinasara ya Kenya pamoja na Wananchi wake kumeibuka hali mbaya ya kisiasa ndani ya mashirika yalio chini ya Utawala huo

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wakati ambapo Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ikiongeza kasi ya mashambulio yake inayoilenga Serikali ya Kinasara ya Kenya pamoja na Wananchi wake kumeibuka hali mbaya ya kisiasa ndani ya mashirika yalio chini ya Utawala huoBunge la kitaghuti la Kenya limekutana mjini Nairobi na kujadili namna ya kuweza kukabiliana na mashambulio yaliokuwa Ada inayofanywa na Mujahidina ndani ya nchi hiyo iliyoko katika Bara la Afrika Mashariki.
Ukosefu wa Usalama pamoja na Wananchi wa Kinasara kuwa walengwa wa mashambulio imesababisha viongozi wa Kenya kupigana kisiasa,Bunge la nchi hiyo imepitisha sheria mpya inayowapa nguvu zaidi Maaskari wa kupambana na Uislaam.
Wanasiasa pamoja na Wabunge wapinzani wa Uhuru Kenyatta amesema Sheria hii inawapa nguvu Al-Shabab kuendelea kupata ushirikiano kutoka ndani ya Kenya.Sheria hyo mpya inayowapa nguvu zaidi Maaskari wa kupambana na Uislaam ni pamoja na:-
1- Inaipa Utawala wa Kenya kumshikilia Gerezani yeyote atakae tuhumiwa kwa kesi za Ugaidi hadi miaka kadhaa bila kumfikisha Mahakamani.2- Inawapa Viongozi wa kupambana na Uislaam uhuru wa kudokoa kwa vyombo vya mawasiliano na simu za watu.Hata hivyo Bunge hilo imempa Rais wa nchi hiyo uwezo wa kufanya uamuzi wa haraka bila kushauriana na mtu yeyote kumfukuza kazi Waziri au kiongozi yeyote wa Mashirika ya Usalama na kuwabadilisha wengine.Maofisa wa Kijeshi waliowahi kufanya kazi katika Jeshi la nchi hiyo wamesema hatua hii mpya haitoweza kuongeza chochote bali mashambulio ya Al-Shabab huenda ikaongezeka zaidi kutokana na Misingi ya Serikali ya Kenyatta kuathiriwa sana na Masuala ya Rushwa pamoja na Wanajeshi wa Kenya waliopo katika Ardhi ya Somalia.

Related Items