Mujahidina wa Al-Shabab washambulia Kambi kubwa ya Halane.

Tuesday December 16, 2014 - 09:50:41 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3142
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mujahidina wa Al-Shabab washambulia Kambi kubwa ya Halane.

    Usiku wa kuamkia jana kambi kubwa ya wanajshi wa kigeni pamoja na ofisi za mashirika za kijasusi ya Halane imeshambuliwa kwa mizinga wakati ambapo hali ya usalama mjini Mugadishu ukiendelea kuwa tete.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Usiku wa kuamkia jana kambi kubwa ya wanajshi wa kigeni pamoja na ofisi za mashirika za kijasusi ya Halane imeshambuliwa kwa mizinga wakati ambapo hali ya usalama mjini Mugadishu ukiendelea kuwa tete.

Habari kutoka Wilayani Wadajir inaeleza kuwa vishindo vya Mizinga  vikimiminika Kambi hiyo ilisikika,habari zaidi zinaeleza kuwa baadhi ya mizinga zilikuwa zikimiminika pembezoni mwa kambi ya Halane huko nyingine zikiangukia ndani ya Kambi.

Haijajulikana hasara rasmi iliyopatikana kutokana na shambulio hilo dhidi ya Kambi kuu ya Wanajshi wa Kigeni pamoja na Mashirika za kijasusi la Halane iliyoko mjini Mugadishu.
Related Items