Maaskari wa Markani wauawa nchini Afghanistaan.

Sunday June 22, 2014 - 09:23:52 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1705
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Maaskari wa Markani wauawa nchini Afghanistaan.

    Habari kutoka nchini Afghanistaan zinaeleza kuwa Wanajeshi wegine wa Kimarekani wameuawa kufuatia shambulio la kuvizia dhidi ya Msafara wa Magari ya kijeshi wa NATO.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Afghanistaan zinaeleza kuwa Wanajeshi wegine wa Kimarekani wameuawa kufuatia shambulio la kuvizia dhidi ya Msafara wa Magari ya kijeshi wa NATO.Duru za kuaminika zinaarifu kuwa Mujahidina wa Imaratul Islamiah wa Afghanistaan wamewaua Wanajeshi zaidi ya 10 wa Kimarekani.

Afisa mmoja wa kijeshi wa Marekani kwa upande wake amekiri kuwa Wanajeshi wake 3 wameuawa lakini hakufafanua namna na eneo waliouawa wanajeshi hao wavamizi nchini Afghanistan.
Wapiganaji wa Taliban bado wanaendelea na Mapambano ya Msimu wa Barafu katika mikoa yote nchini Afghanistaan ambao umeitwa "Opresheni ya Kheybar".

Kuawa kwa Wanajeshi hao nchini Afghanistan unakuja wakati ambapo Obama alikwisha tangaza kuwa kufikia mwishoni mwa mwaka 2014 atawaondoa Wanajeshi wa Marekani kutoka Ardhi hiyo ya Waislaam.

Related Items