Mapigano makali yaripotiwa katika mji wa Wabho na Wanajeshi wa Ethiopia warudishwa nyuma.

Tuesday December 16, 2014 - 09:53:53 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1451
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mapigano makali yaripotiwa katika mji wa Wabho na Wanajeshi wa Ethiopia warudishwa nyuma.

    Mapigano makali yaiendelea jana nje na ndani ya mji wa Wabho iliyo katika mkoa wa Galgaduud katikati mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mapigano makali yaiendelea jana nje na ndani ya mji wa Wabho iliyo katika mkoa wa Galgaduud katikati mwa Ardhi ya Somalia.Habari kutoka mji wa Wabho zinaeleza kuwa vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamekabiliana vikali na wanajeshi wa Ethiopia ndani ya mji huo.Mashuhuda wanaeleza kuwa Wanajeshi wavamizi wa Ethiopia wamerudishwa nyuma kutoka mji wa Wabho huko wakikutana na mapigano makali eneo linalojulikana kisima cha Gorof iliyo katikati mwa miji ya Mahaas na Wabho.

Related Items