Mapigano yaliosababisha hasara yafanyika kwenye miji ya Hudur na Bula Barde.

Wednesday December 17, 2014 - 23:05:21 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2039
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mapigano yaliosababisha hasara yafanyika kwenye miji ya Hudur na Bula Barde.

    Habari kutoka mkoani Hiraan katikati mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa jana usiku kuliibuka makabiliano makali ndani ya mji wa Bula Barde ambapo kuna vituo vya wanajeshi maadui wa AMISOM.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Hiraan katikati mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa jana usiku kuliibuka makabiliano makali ndani ya mji wa Bula Barde ambapo kuna vituo vya wanajeshi maadui wa AMISOM.

Mapigano hayo yalikuja baada ya Mujahidina wa Al-Shabab kufanya mashambulio ya pembe tatu dhidi ya vituo vya Wanajeshi kutoka Djibuti na Wanamgambo wa Serikali ya FG.
Milio ya silaha nzito pamoja na risasi za rashasha zilisikika vitongoji vilioizunguka mji wa Bula Barde ambapo pande zilizokabiliana walikuwa wakirushiana.

Upande mwingine vikosi vya Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Bay na Bakol walifanya mashambulio makali dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa Ethiopia yalioko mji wa Hudur makao makuu ya mkoa wa Bakol.

Related Items