Milipuko yalioteketeza magari za AMISOM yafanyika nje ya mji wa Baraawe.

Wednesday December 17, 2014 - 23:07:14 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2175
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Milipuko yalioteketeza magari za AMISOM yafanyika nje ya mji wa Baraawe.

    Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa milipuko mikubwa yamelengwa dhidi ya Magari za Wanajeshi wa AMISOM pamoja na Wanamgambo wa Serikali ya FG.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa milipuko mikubwa yamelengwa dhidi ya Magari za Wanajeshi wa AMISOM pamoja na Wanamgambo wa Serikali ya FG.Duru zilieleza kuwa Magari matatu yaliteketezwa katika eneo la Barabara linalounganisha kati ya miji ya Baraawe na Bula Marer,habari zaidi zinaeleza kuwa Mujahidina baada ya milipuko walifanya shambulio la kuvizia dhidi ya msafara wa maadui hao.Walioshuhudia wanasema baada ya milipuko huo eneo la tukio walifika Wanajeshi miongoni mwa wanajeshi wa AMISOM waliokuja kutoa msaada huko wakisomba miili ya wanajeshi wenzao waliouawa na milipuko huo pamoja na majeruhi kadhaa.


Ilikuwa jana tu wakati ambapo Gari alilokuwemo Afisa mmoja wa Wanamgambo wa Serikali ya FG inayofanya kazi na Maadui wa kigeni alipolengwa na mlipuko mkubwa katika mji wa Baraawe.

Related Items