PICHA:Kiongozi wa Ikhwanul Muslimina ahukumiwa kunyongwa na Al Sisi ambusu kichwani Mfalme wa Saudi Arabia.

Sunday June 22, 2014 - 09:30:36 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2604
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Kiongozi wa Ikhwanul Muslimina ahukumiwa kunyongwa na Al Sisi ambusu kichwani Mfalme wa Saudi Arabia.

    Habari kutoka nchini Misri zinaeleza kuwa Mahakama mmoja ya kijeshi ya nchi hiyo imetoa hukumu ya kunyongwa kwa watu wanaotuhumiwa kwa kile ilichokiita vitendo ya Ugaidi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Taghuti akibusiwa na Mujrim Al Isisi.
Habari kutoka nchini Misri zinaeleza kuwa Mahakama mmoja ya kijeshi ya nchi hiyo imetoa hukumu ya kunyongwa kwa watu wanaotuhumiwa kwa kile ilichokiita vitendo ya Ugaidi.


Uongozi wa Kijeshi uliochukua madaraka kwa mapinduzi umesema utawahukumu watu 197 viongozi na maofisa wa chama cha Ikhwanul Muslimina ambao mwaka jana walipinduliwa Madarakani nchini Misri.

Baadhi ya Viongozi waliohukumiwa kunyongwa ni pamoja na kiongozi mkuu wa chama hicho Mohamed Badi'i aliyomo kwenye Gereza mmoja iliyopo nchini Misri ambao ulinzi wake unalindwa sana.

Qaadhi mkuu wa Mahakama ya Kitaghuti nchini Misri ametangaza uamuzi wa mwisho wa mahakama hiyo itakayotekelezwa kwa Viongozi hao waliotuhumiwa kwa kile ilichokitaja Mahakama hiyo ya Kitaghutu kuwa Vitendo vya Kigaidi.

Vyombo vya habari nchini Misri imesema watu hao waliohukumiwa kunyongwa wamechambuliwa kutoka idadi ya watu 529 waliokwisha hukumiwa kunyongwa hapo awali na inahofiwa idadi hiyo ya 197 wanaweza kuuliwa wote.

Upande mwingine watu 5 wameuawa kwenye mji wa Kairo baada ya maandamno makubwa ya kupinga Mapinduzi ya Kijeshi unaoendelea kufanyika kwenye miji mbalimbali nchini humo.
Wanajeshi wa ktuliza ghasia wametumia Risasi ya moto kwa Wananchi waliojitokeza ambao walikuwa wakisema maneno yaliokuwa dhidi ya Abdilfatah Al Sisi aliyejitangaza hivi karibuni kuwa Rais wa nchi ya Misri.

http://wata.cc/up/2014/06/images/w-fb7544f250.jpg


Mfalme kibaraka wa Utawala wa Kitaghuti wa Aala Saudi amefanya ziara mjini Kairo na kukutana na Al Sisi na maofisa wa Kijeshi wanaoongoza Utawala huo wa Mapinduzi nchini Misri.


Abdallah Bin Abdul Aziz mzee anaeshikilia kiti cha Ufalme wa Aala Saudi katika siku za hivi karibuni alikuwa akiugulia Hospitali mmoja iliyopo nchi ya Al Maghrib,televisheni ya Misri imeonyesha Mfalme huyo kibaraka na Al Sisi mwanamapinduzi aliyemwaga Damu ya mamilioni ya Waislaam nchini Misri wakiwa kwenye Ndege Maalum iliyokuwa katika Uwanja wa Ndege mjini Kairo.


Kiongozi huyo wa Saudi Arabia aliyekosa kutembea kwa miguu na Viongozi wa Misri anakutana nao ndani ya Ndege maalumu,Serikali kibara za Saudi Arabia na Umoja wa nchi za Kiarabu umeifadhili Mamilioni ya Pesa kwa Al Sisi na ndio Vichwa vya Mapinduzi yaliofanyika nchini Misri.

Al Sisi alimbusu kichwani Mheshimiwa wake wa Saudi Arabia na anaamini bila Saudia asingeweza kuwa Rais wa nchi hiyo ya Misri,Abdilfatah Al Sisi aliwaua waislaam zaidi ya 2,500 ndani ya siku mmoja tu katika mji wa Kairo.Related Items