Al-Qaida yaua Askari wa Serikali ya Yamen katika mji wa Hadhramuut.

Friday December 19, 2014 - 21:51:05 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1649
  • (Rating 2.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 1 1
  • Share via Social Media

    Al-Qaida yaua Askari wa Serikali ya Yamen katika mji wa Hadhramuut.

    Wizara ya ulinzi wa Serikali kibaraka ya Yemen imetangaza kuwa shambulio iliyofanyika katika mkoa wa Kusini Magharibi mwa nchi hiyo imewaua Maofisa wakuu pamoja na Wanajeshi kadhaa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wizara ya ulinzi wa Serikali kibaraka ya Yemen imetangaza kuwa shambulio iliyofanyika katika mkoa wa Kusini Magharibi mwa nchi hiyo imewaua Maofisa wakuu pamoja na Wanajeshi kadhaa.Habari kutoka nchini Yemen zinaeleza kuwa Bomu lililotegwa kandokando mwa Barabara ililipuka kwenye msafara wa Magari ya Kijeshi na kusababisha hasara.Kwa uchache Wanajeshi 4 wamepoteza maisha huko idadi nyingine wakijeruhiwa kwenye mlipuko huo,hata hivyo shambulio lingine iliyofanyika mkoa wa Ma'rib imewaua Wanajeshi wa Utwala huo wa Yemen.


Shambulio lingine iliyotekelezwa na Mujahidina wa Ansaru Sheria katika mkoa wa E Bee katikati mwa Yemen imewaua makumi ya Wanamgambo wa Kishia wa Huthi.

Related Items