TIZAMA PICHA:Miji minne yaingia mikononi mwa Vikosi vya ISIS na Mashia waonyesha kukata tamaa.

Sunday June 22, 2014 - 09:34:11 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2812
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    TIZAMA PICHA:Miji minne yaingia mikononi mwa Vikosi vya ISIS na Mashia waonyesha kukata tamaa.

    Udhibiti kwenye upande wa Siasa na Kijeshi nchini Iraq katika siku 20 uliopita ulionyesha mabadiliko muhimu baada ya Wapiganaji wa Kislaam na baadhi ya Vikosi vya Makabila ya Kisunni kuufungua Ardhi kubwa iliyopana zaidi nchini Iraq.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya ISIS wakitembea ndani ya mji wa Falluujah.
Udhibiti kwenye upande wa Siasa na Kijeshi nchini Iraq katika siku 20 uliopita ulionyesha mabadiliko muhimu baada ya Wapiganaji wa Kislaam na baadhi ya Vikosi vya Makabila ya Kisunni kuufungua Ardhi kubwa iliyopana zaidi nchini Iraq.

Giza nene umeizingira matarajio ya wanasiasa na Wanajeshi wa Kishia wa Marwafidha na kuitawala tena katika Ardhi ya Waislaam wa Kisunni nchini Iraq.

9,April,2003 Wanajeshi wa Marekani wakitumia Vifaru na Ndege za Kivita walimpeleka Mji wa Baghdaad Iyad Alawi,Nuri Al Maliki na Ahmed Jalabi ambao wote walikuwa ni wansiasa wa Kishia na baadae kuutwaa viti muhimu kwenye utawala huo wa kupandikizwa nchini Iraq.


Mashia wa Iraq uliofanywa Serikali umefanya mauaji ya halaiki kwa kila pande dhidi ya Waislaam wa Kisunni nchini Iraq,Wasichana walibakwa na Maelfu ya Vijana walifungwa na kuteswa kwenye Magereza na baadae kuuliwa na hayo ni madhila machache tu yaliofanywa dhidi ya Waislaam wa Ahlu Sunni nchini Iraq.

Mwezi January mwaka 2014 Vikosi vya Makabila ya Kisunni na Mujahidina wa Dola ya Kislaam waliuchukua mji wa Falluujah na maeneo mengi ya mji wa Al Ramaadi nchini Iraq.

Tangu wakati huo makabiliano ya makundi hayo ya Kishia na Kisunni yalipata nguvu,9,June,2014 Mujahidina wa Dola ya Kislaam walifanikiwa kudhibiti mji wa Muusil kaskazini mwa Iraq na baada ya siku mmoja tu waliudhibiti tena mji wa Tikrit iliyo nje ya mji wa Baghdaad nchini Iraq.

Mujahidina baado wanaendelea kutambaa na kuisogelea Baghdaad na siku ya jana pekee waliuchukua Miji 4 ya Rawaat,Al Qaa'im,Rudbah na A'aanah Picha kadhaa zilizosambazwa kwenye mtando wa Kijamii uliwaonyesha Vikosi vya Dola ya Kislaam wakizunguka na Magari za Kijeshi katika mji wa Al Qa'im iliyo karibu na Mpaka wa Kizushi kati ya Iraq na Syria.

Embedded image permalink

Wadadisi wa masuala ya kijeshi wanaashiria kuwa ikiwa ISIS wataudhibiti mji wa Hadiithah basi Wanajeshi wa Nuri Al Maliki watawekwa kwenye Vizuizi na kuzingirwa na uzito waliokuwa nayo ISIS utapungua kutoka upande wa Ramaadi.
Mji muhimu ya Biji iliyo na Viwanda vingi vya kusafishia Mafuta nayo iko mikononi mwa Mujahidina wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam.
Tizama hapo chini Ramani inayonyesha maeneo na miji wanayoshikilia Mujahidina wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Sham na maeneo wanayoendelea kuisogelea.


Related Items