Mapigano yaliodumu siku ya 3 yaendelea nje ya mji wa Kismaayo na Wanamgambo wa Ahmed Madobe wapoteza Gari kwenye makabiliano hayo.

Thursday December 25, 2014 - 17:56:49 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1763
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mapigano yaliodumu siku ya 3 yaendelea nje ya mji wa Kismaayo na Wanamgambo wa Ahmed Madobe wapoteza Gari kwenye makabiliano hayo.

    Mmoja ya Magari ya Wanamgambo wa Mhalifu Ahmed Madobe imeteketezwa kwenye mlipuko mkubwa uliofanyika mapema leo asubuhi nje ya mji wa Kismaayo mkoani Lower Jubba.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mmoja ya Magari ya Wanamgambo wa Mhalifu Ahmed Madobe imeteketezwa kwenye mlipuko mkubwa uliofanyika mapema leo asubuhi nje ya mji wa Kismaayo mkoani Lower Jubba.Habari kutoka eneo la Yontow nje kidogo na mji wa Kismaayo inaeleza kuwa mapigano yamezuka tena upya baada ya Wanajeshi wa Kenya kufanya jaribio la kuutwaa kijiji cha Yontoy.
Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab wanakabiliana kwa siku ya tatu mfululizo dhidi ya Wanajeshi wa Msalaba kutoka Kenya,Duru zinaeleza kuwa Wanajeshi wa Kenya wanajaribu kuvuta Magari mawili waliochomewa jana nje ya kijiji cha Yontow.Mwandishi wa habari aliyopo Mikoa ya Jubba anaarifu kuwa mapigano yanaendelea kwa kukatika katika nje ya mji wa Kismaayo na leo hii Wanamgambo wa Ahmed Madobe wamejiunga na vita hivyo ambayo Wanajeshi wa Kenya wanawafanya kuwa ngao ya risasi za Mujahidina.

Related Items