Wanajeshi wa AMISOM waondoka kwenye Kambi yao kubwa iliyokuwa Wilaya ya Huriwaa mjini Mugadishu.

Sunday June 22, 2014 - 18:37:36 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2252
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wa AMISOM waondoka kwenye Kambi yao kubwa iliyokuwa Wilaya ya Huriwaa mjini Mugadishu.

    Wakaazi wa mji wa Huriwaa wamesema Wanajeshi wa Burundi walio sehemu ya Wanajeshi wavamizi nchini Somalia AMISOM wameham kutoka kwenye kambi yao Wilayani Huriwaa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wakaazi wa mji wa Huriwaa wamesema Wanajeshi wa Burundi walio sehemu ya Wanajeshi wavamizi nchini Somalia AMISOM wameham kutoka kwenye kambi yao Wilayani Huriwaa.
Majengo ya Warshada Barafunka iliyo karibu na makutano ya SOS mjini Mugadishu ambapo Wanajeshi hao wa Burundi walikuwa na kambi yao lakini leo hii wameachia kambi hiyo kufuatia misururu ya mashambulio ya mara kwa mara kutoka kwa vikosi vya Al-Shabab.

Wananchi kadhaa wamejitokeza mapema leo asubuhi kwenye majengo ya Warshada Barafunka lakini muda mfupi baadae walifika Wanamgambo wa Serikali ya TFG kwenye eno hilo na kuwakamata watu.

Miji ya Huriwaa na Yaqshiid mara kwa mara hufanyika mashambulio yanayowalenga Wanajeshi wa Kigeni na Washirika wao wa Kisomali na miji hizo ni baadhi ya maeneo mengi ambao wakaazi wake huwaunga mkono Mujahidina wa harakat Al-shabab Al Mujahidina. 

Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Uongozi wa AMISOM kuhusiana na kuhama kwa Wanajeshi hao kutoka kwenye kambi kubwa iliyokuwa Wilaya ya Huriwaa mjini Mugadishu.

liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items