Vikosi vya IS wafanya shambulio iliyosababisha hasara ndani ya Ardhi ya Saudi Arabia.

Tuesday January 06, 2015 - 03:10:10 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3464
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 3 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya IS wafanya shambulio iliyosababisha hasara ndani ya Ardhi ya Saudi Arabia.

    Habari kutoka mipaka ya kizushi kati ya Saudi Arabia na Iraq zinaarifu kuwa kumefanyika shambulio kwenye Beria waliokuwepo Wanajeshi wa Utawala wa Ala Saudi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mipaka ya kizushi kati ya Saudi Arabia na Iraq zinaarifu kuwa kumefanyika shambulio kwenye Beria waliokuwepo Wanajeshi wa Utawala wa Ala Saudi.Afisa mmoja aliyezungumza kwa niaba ya Utawala wa Riyadh amethibitisha kuwa Afisa mmoja wa Jeshi la kulinda mpakani ameuawa na wengine 5 wamejeruhiwa vibaya huko akitaja kuwa shambulio hilo kuwa ni ya "Kigaidi".
Vyombo vya habari vinayoiunga mkono Dola ya Kiislaam imetangaza kuwa kikosi maalum cha Mujahidina wamefanya shambulio ndani ya Ardhi ya Harameyn inayojulikana Saudi Arabia.Utawala kibaraka wa Iraq nae imesema kuwa vikosi vya IS wameingia kwa nguvu mipaka inayounganisha kati ya mataifa hayo mawili,ni mara ya kwanza kufanyika kwenye mipaka ya kizushi inayozitenganisha nchi ya Iraq na Saudi Arabia.Muungano inayojumuisha mataifa 60 inayopambana dhidi ya Dola ya Kiislaam na Mujahidina wa Jabhat Al Nusrah amapo Marekani,Saudi Arabia na Jordan ndio mataifa walio kwenye msatari wa mbele kwenye ushirika huo wa kupambana na Mujahdina wa Ardhi ya Shaam na Iraq.

Related Items