Sheikh Abuu Hamza Almasri ahukumiwa kifungo cha miaka 100 Jela.

Saturday January 10, 2015 - 23:16:23 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2827
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Sheikh Abuu Hamza Almasri ahukumiwa kifungo cha miaka 100 Jela.

    Mahakama mmoja iliyoko nchini Marekani imemhukumu kifungo cha Maisha Da'aia Maarufu wa Kiislaam Sheikh Abuu Hamza Al Masri kwa kesi ya kuunga mkono Harakati ya Jihadi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mahakama mmoja iliyoko nchini Marekani imemhukumu kifungo cha Maisha Da'aia Maarufu wa Kiislaam Sheikh Abuu Hamza Al Masri kwa kesi ya kuunga mkono Harakati ya Jihadi.Mwendesha Mashtaka wa Marekani amesema Tuhuma zote 12 aliyotuhumiwa Sheikh Abuu Hamza Al Masri imethibitishwa,mmoja ya tuhuma hizo ni kutoa pesa kwa Mujahidina wa Al Qaida na kuhusika kwake na mashambulio yaliowalenga watalii wa mataifa ya Magharibi yaliofanyika mwaka 1998 nchini Yemen.
Amehukumiwa kutumikia jela miaka 100 Sheikh Abuu Hamza ambae ni Da'ia Mlemavu na hiyo inamaanisha Serikali Dhalimu ya Marekani imemhukumu Shekhe huyo kwenda Jela Maisha.

Related Items