Sheikh Abdirrahman Al Hudeyfa "Tumezichoma moto Magari 4 ya Kenya na kuwaua Wanajeshi wao".

Monday June 23, 2014 - 21:12:11 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2153
  • (Rating 4.0/5 Stars) Total Votes: 2
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Sheikh Abdirrahman Al Hudeyfa "Tumezichoma moto Magari 4 ya Kenya na kuwaua Wanajeshi wao".

    Waali wa Wilayatul Islamiah ya Jubba Sheikh Abdirrahamn Al Hudeyfa amefanya mahojiano na Radio ya Kislaam ya Al-Furqaan na kufafanua shambulio kubwa uliofanyika katikati mwa Miji ya Badaade na Kulbiyow mkoani Lower Jubba kusini mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Waali wa Wilayatul Islamiah ya Jubba Sheikh Abdirrahamn Al Hudeyfa amefanya mahojiano na Radio ya Kislaam ya Al-Furqaan na kufafanua shambulio kubwa uliofanyika katikati mwa Miji ya Badaade na Kulbiyow mkoani Lower Jubba kusini mwa Ardhi ya Somalia.Shekhe ameongeza kusema kuwa mapema leo Asubuhi Mujahidina walifanya shambulio la kuvizia dhidi ya Wanajeshi wa Kenya na kuwapa hasara ya kimali na kiroho pia.


Huko akiendelea kufafanua hasara waliopata Wanajeshi wa Kenya Shekhe amesema kuwa Mujahidina walizichoma Magari 4 na pia wamewaua wanajeshi zaidi ya kumi.
Hata hivyo Sheikh Hudeyfa tulipomuliza kuhusu taarifa iliyosambazwa leo na Wanajeshi wa Kigeni iliyokuwa ikidai kuwa wamewaua Mujahidina 80 wa Al-Shabab kwenye shambulio la ndege Shekhe ametueleza kuwa hakuna ukweli wowote kuhusiana na madai hayo ya Kenya na ni propaganda yao rahisi wanayotaka kufunika hasara walioipata leo.
"Siku ya Al-Khamisi ndio walitupa tupa vitu katika maeneo ya pori wasiokuwepo watu na hakuna aliyejeruhiwa,lakini lengo lao la kutangaza leo ni kutaka kuuficha maumivu na hasara walioupata",alisema Sheikh Hudeyfa ambae ni Waali wa Wilayatul Islamiah ya Lower Jubba.


Related Items