PICHA:Waislaam wa Niger wafanya Maandamano ya kumhami Mtume na Makanisa kadhaa yachomwa moto.

Sunday January 18, 2015 - 08:00:15 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3507
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    PICHA:Waislaam wa Niger wafanya Maandamano ya kumhami Mtume na Makanisa kadhaa yachomwa moto.

    Jamii ya Kislaam kote Duniani wameanza vuguvugu la kulipa kisasi na kumhami Mtume Mohamed صلى الله عليه وسلم ambao Makafiri wa Kifaransa wamemkosea.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Jamii ya Kislaam kote Duniani wameanza vuguvugu la kulipa kisasi na kumhami Mtume Mohamed صلى الله عليه وسلم ambao Makafiri wa Kifaransa wamemkosea.Ikiwa Al Qaida Tawi la Arabuni wameondokana na Dhima ya kumhami Mtume wetu (Swala lahu aleyhi wasalam) na kumlipia kisasi,kwa upande wa wananchi wa Kislaam nao wanafanya maandamano makubwa ya kuwahujumu Maadui.
Habari kutoka nchini Niger iliyokuwa Koloni ya Ufaransa zinaeleza kuwa Maandamano makubwa yameitikisa baadhi ya miji ya nchi hiyo.Waislaam waliokuwa na hasira wameishambulia kituo cha Utamaduni ya Kifaransa iliyoko mji wa Rendar ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Niger na pia waandamanaji walifyatua risasi katika kituo hicho waliokuwepo Raia wa Kifaransa.Vyombo vya habari wamearifu kuwa Waislaam 4 wamepata Shahada huko mmoja wa Maaskari Polisi wa Utawala wa Niger akiuawa,Waandamani wamezichoma Makanisa yaliokuwa yakimilikiwa na Wakristo na vituo vingine nchini humo.Waandishi wa habari wameripoti kuwa Waandamanaji hao waliokuwa wamejihami na silaha za Jadi walishambulia Majengo ya Serikali ya Ufaransa yalioko mji wa Rendar.Habari zaidi zinaeleza kuwa Waandamanaji wapatao 45 waliokuwa na slaha za jadi kama vile mapanga na mishale wamejeruhiwa na kukimbizwa katika vituo vya Afya.Waandamanaji hao walikuwa wakitamka maneno kama vile "Tunamhami Mtume wetu Mtukufu wa Daraja,Nafsi yetu iko mbele na hatutokubali kuchezewa heshima na karama ya Mtume",na maneno mengine.
Hata hiyo Waandamanaji walichoma moto Bendera ya Ufaransa na Baadhi ya wafanyakazi Makafiri wa Gazeti la Kifaransa iliyosambaza Picha yaliotumika kumkosea heshima Mtume wetu صلى الله عليه وسلم.


Waziri wa Masuala ya nje wa Serikali kibaraka ya Niger ameliambia vyombo vya habari kuwa Makanisa 7 zimeteketezwa kwa moto na pia Magari ya Polisi kuharibiwa vibaya.Embedded image permalink
Embedded image permalink

Embedded image permalink

Embedded image permalink

Embedded image permalink

Related Items