Vikosi vya Dola ya Kislaam wamchinja Kenji Goto raia wa Japan.

Tuesday February 03, 2015 - 07:52:35 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2426
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Dola ya Kislaam wamchinja Kenji Goto raia wa Japan.

    Mazungumzo yaliokuwa na lengo la kubadilishana wafungwa kati ya Dola ya Kislaam na Serikali ya Japan imeonekana kufeli.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mazungumzo yaliokuwa na lengo la kubadilishana wafungwa kati ya Dola ya Kislaam na Serikali ya Japan imeonekana kufeli.Mkanda wa video uliorushwa na vikosi vya Dola ya Kislaam imemwonyesha Askari Mujahid wa Dola ya Kislaam akimchinja mfungwa wa Kijapani aliyeitwa Kenji Goto.
Askari huyo Mujahidi wa Dola ya Kislaam amesema watawalenga raia wa Japan popete watakapo waona kutokana na utawala huo kujiunga na Mataifa yanayopambana na Dola ya Kislaam.Waziri mkuu wa Serikali ya Japan alilaani kitendo cha kuchinjwa kwa Raia wake mwandishi Kenjo Goto mzaliwa raia wa nchi hiyo,IS ilishawahi kutishia kuwa ingewachinja wafungwa raia wa Japan ikiwa Serikali ya Japan itashindwa kutekeleza maagizo ya Mujahidina.

Related Items