Breaking News:Mbunge wa Bunge la Kenya na Maaskari wawili wauawa katikati mwa mji wa Nairobi.

Saturday February 07, 2015 - 09:17:41 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2935
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 3 1
  • Share via Social Media

    Breaking News:Mbunge wa Bunge la Kenya na Maaskari wawili wauawa katikati mwa mji wa Nairobi.

    Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa watu waliokuwa wamejihami na silaha wamemwua Mwanachama wa Bunge la Kenya pamoja na Walinzi wake wawili katikati mwa mji wa Nairobi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa watu waliokuwa wamejihami na silaha wamemwua Mwanachama wa Bunge la Kenya pamoja na Walinzi wake wawili katikati mwa mji wa Nairobi.

Mkuu wa Polisi nchini Kenya amewaambia vyombo vya habari kuwa watu waliokuwa na silaha wamemwua Mbunge Gerorge Muchai pamoja na Askari aliyekuwa mlinzi wake.Fuatilia yatakajiri Inshallah

Related Items