Mbunge wa Serikali ya FG na Maaskari waliokuwa walinzi wake wauawa mjini Mugadishu.

Tuesday February 10, 2015 - 08:57:18 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1937
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mbunge wa Serikali ya FG na Maaskari waliokuwa walinzi wake wauawa mjini Mugadishu.

    Watu waliojihami na silaha wamemwua Mbunge wa Serikali ya FG jana katika mtaa wa Hamar Jajab mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Watu waliojihami na silaha wamemwua Mbunge wa Serikali ya FG jana katika mtaa wa Hamar Jajab mjini Mugadishu.Walioshuhudia wanasema kwenye makutano ya Elgaabta A/lahi Qayad Barre ambae alikuwa miongoni mwa Wabunge wa Serikali Shirikikishi ya mjini Mugadishu ambao wanafanya juhudi ya kushiriki kwenye kikao kinachotarajiwa cha kupiga kura ya kutokuwa na imani utawala wa Umar A/Rashid Sharma arke.Habari zaidi zinaeleza kuwa watu waliotekeleza mauaji hayo waliondoka eneo la tukio bila bugudha yeyote baada ya kufikia lengo na hakuna Maaskari wa Serikali ya FG waliojaribu kuwafuatilia.


Maaskari wawili waliokuwa walinzi wa Mbunge pia waliuawa ndani ya Gari lake A/lahi Qayad Barre.


Si mara ya kwanza kuawa kwa Wabunge mjini Mugadishu lakini mauaji haya ni ya kwanza kutokea tangu kwanza kwa mwaka huu 2015.

Related Items