Waziri mkuu Umar Abdurrashid "Utawala wangu utaipa nguvu mapambano dhidi ya Al-Shabab"!!

Wednesday February 11, 2015 - 08:50:00 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2143
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Waziri mkuu Umar Abdurrashid "Utawala wangu utaipa nguvu mapambano dhidi ya Al-Shabab"!!

    Masaa machache baada ya wabunge wa Serikali ya FG kumpatia kura ya kumwunga mkono Waziri mkuu Umar Abdurrashid Sharmarake ametangaza kutekeleza Ajenda za Mataifa ya kigeni walioivamia Ardhi ya Somalia na malengo yake.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Masaa machache baada ya wabunge wa Serikali ya FG kumpatia kura ya kumwunga mkono Waziri mkuu Umar Abdurrashid Sharmarake ametangaza kutekeleza Ajenda za Mataifa ya kigeni walioivamia Ardhi ya Somalia na malengo yake.Umar Abdurrashid amewaambia vyombo vya Habari kuwa utawala wake utaipa nguvu na kuhakikisha Wanajeshi wa Ethiopia kuchkua vijiji na miji yaliopo Kusini na katikati mwa Ardhi ya Somalia.
"Utawala wangu utaipa nguvu na kuhakikisha kuwa maeneo yote yaliobakia kwa wale wasiopenda Amani Al-Shabab wanaondolewa!",alisema Umar Abdurrashid Sharmaarke.Kiongozi huyo kibaraka wa Serikali ya FG anaona fahari na Uhuru kuikabidhi sehemu au Ardhi ya Somalia kwa Wanajeshi wavamizi AMISOM na Ethiopia huko ikifahamika Ethiopia ikiwa Adui wa Asilia na baado inashikilia Ardhi kubwa ya wasomali.Kile kinachoitwa Serikali shirikisho ya Somalia FG iliyo na makao yake mjini Mugadishu ni kibaraka kwa wavamizi waliovamia Ardhi hiyo huko kila kukicha ikisaini makubaliano ya kuipora Mali ya Wasomali lakini itakumbukwa baadhi ya wananchi wako kwenye mapambano dhidi ya Wavamizi wa kigeni.Related Items