Jaji aliyetoa hukumu ya kunyongwa kwa Sadam Husein aingia mkononi mwa Mujahidina wa ISIS.

Wednesday June 25, 2014 - 09:35:02 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4684
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Jaji aliyetoa hukumu ya kunyongwa kwa Sadam Husein aingia mkononi mwa Mujahidina wa ISIS.

    Vikosi vya Wapiganaji wa Kisunni nchini Iraq wametia mikononi Jaji aliyetoa hukumu ya kunyongwa kwa Sadam husein kiongozi wa zamani nchini Iraq.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kutoka kushoto Rauf Abdirahman Jaji aliyetoa hukumu ya kuuliwa kwa Sadam Husein.
Vikosi vya Wapiganaji wa Kisunni nchini Iraq wametia mikononi Jaji aliyetoa hukumu ya kunyongwa kwa Sadam husein kiongozi wa zamani nchini Iraq.
Baadhi ya Maofisa wa Serikali ya Kishia ya Nuri Al haliki wamekiri kuwa Vikosi vya Mujahidina wa Dola ya Kislaam "ISIS" wamemtia mkononi Rauf Abdirrahmaan na kisha Kumchinja.

Mnamo tarehe 16,June,2014,nyakati za Usiku Mujahidina walimkamata Rauf na kisha kumtekelezea hukumu ya kuritadi ambayo ni kuchinjwa.

Kiongozi wa kikabila anaetoka kwenye koo ya Sadam Husein aliwahakikishia Vyombo vya habari kuwa Rauf aliyewahi kutoa hukumu ya kunyongwa Sadam mwaka 2006 ameuawa na Vikosi vya Wapiganji wa Kislaam nchini Iraq.

"16,June 2014 nyakati za usiku Wapiganji wa Kisunni walimtia mkononi jaji aliyetoa hukumu ya kunyongwa kwa Shahiid Sadam Husein,Rauf Abdirrahmaan aliuawa nyakati za usiku alipojaribu kutoroka na mwisho wa kila aliyefanya mauji dhidi ya Waislaam itakuwa ni mbaya",alisema kiongozi huyo wa kikabila Khaliil A'diyyah.


Jarida la the Daily Mail la nchini Uingereza iliwanukuu vyanzo muhimu vya kuaminika na kudhibitisha hatua hiyo ya kuuliwa kwa Jaji huyo,Sadam Husein aliyekuwa kiongozi nchini Iraq kwa miaka mingi Marekani walipofanya uvamizi nchini Iraq walimkamata na kumkabidhi Mashia wa Iraq na kisha walimwua vibaya,hukumu hiyo ya Sadam waliilenga Siku iliyokuwa Idi kwa Waislaam kote Ulimwenguni.

Related Items