Makabiliano makali yaliofanyika dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa AMISOM katika mkoa wa L/Shabelle.

Thursday February 12, 2015 - 07:50:54 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1798
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Makabiliano makali yaliofanyika dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa AMISOM katika mkoa wa L/Shabelle.

    Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa mapigano makali yamefanyika kwenye maeneo yalio chini ya Miji ya Barawe na Bula Marer.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa mapigano makali yamefanyika kwenye maeneo yalio chini ya Miji ya Barawe na Bula Marer.

Mwandishi wa habari aliyoko mkoani humo amearifu kuwa vikosi vinayoiunga mkono Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya mashambulio kwenye kijiji cha Ambareso iliyo nje ya mji wa Barawe ambapo kuna kituo cha Wanajeshi waliovamia Ardhi ya Somalia AMISOM.
Shambulio la kuvizia iliyofanyika jana nyakati za Asubuhi yalilengwa Maaskari wa Serikali ya FG kwenye eneo lililo nje ya mji wa Bula Marer hata hivyo makabiliano makali yalitokea usiku wa kuamkia jana katika eneo la Lafole ambapo pia kuna kituo cha Wanajeshi wa AMISOM.Mapigano haya ni sehemu ya harakati ya kuikomboa Ardhi ya Somalia ambayo wananchi wa nchi hiyo wanakabiliana vilivyo na wavamizi wa misalaba waliojiita AMISOM  katika mikoa ya Kusini na katikati mwa Ardhi ya Somalia.Related Items