Waislaam 3 wauawa ktk Mkoa wa Carolina na Marekani yamtia kwenye orodha ya Magaidi Afisa mmoja wa Dola ya Kiislaam.

Thursday February 12, 2015 - 07:53:32 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3408
  • (Rating 3.6/5 Stars) Total Votes: 7
  • 1 1
  • Share via Social Media

    Waislaam 3 wauawa ktk Mkoa wa Carolina na Marekani yamtia kwenye orodha ya Magaidi Afisa mmoja wa Dola ya Kiislaam.

    Mwanaume mmoja wa Kinasara amewaua watu 3 wa familia mmoja kwenye mmoja ya mikoa mikubwa nchini Marekani huko ubaguzi dhidi ya jamii ya Kiislaam ikiongezeka.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mwanaume mmoja wa Kinasara amewaua watu 3 wa familia mmoja kwenye mmoja ya mikoa mikubwa nchini Marekani huko ubaguzi dhidi ya jamii ya Kiislaam ikiongezeka.Habari kutoka mkoani Carolina nchini Marekani zinaeleza kuwa ndani ya holi ya Chuo kikuu cha N.Carolina wamepigwa risasi Diyaa Barakat 23,Mke wake Yusra Abuu Saleh 21,hata hivyo katika mauji hayo Razaan Abu Saleh aliyekuwa na umri wa miaka 19 pia alipoteza maisha ambaye alikuwa Dada wa mke wa Diyaa.
Vyombo vya habari nchini Marekani yamejaribu kuuficha tukio hilo la kuawa waislaam,Maofisa wa Polisi mkoa wa Carolina wamesema wamemkamata mwanaume aliyefanya mauaji na kumtaja kuwa ni Mkristo mwenye msimamo mkali.silaha zilizotumika kuwaua waislaam yalikuwa silaha za kipekee zinazomilikiwa tu na wananchi wazawa wa Marekani.Upande mwingine Taarifa rasmi kutoka Wizara ya masuala ya nje wa Marekani ilitaja kuwa ametiwa katika Orodha ya Magaidi kwa Mwimbaji wa zamani wa nyimbo za kufoka wa Rap Denis Xpert ambaye ametuhumiwa kuwakata vichwa Raia wa Marekani.Denis Xpert ni mzaliwa wa Ujerumani ambae alisilmu mwaka 2005 na kisha kwenda Hijra hadi katika Ardhi ya Shaam huko akishiriki vita vya Jihadi ya kimataifa.Marekani imemtaja Denis Expert kuwa ni Afisa miongooni mwa Maofisa wa Dola ya Kiislaam na kisha kuonekana mikanda kadhaa za video yaliosambazwa kwenye mitandao ya Internet akionekana kuwakata vichwa watu kutoka mataifa ya Magharibi.Pindi tu aliposilimu Denis Xpert alichagua jina la Abuu Malik huko mara kadhaa akipata majeraha makubwa alipokuwa akishiriki mapigano ya Jihadi Nchini Syria.

Related Items