Maelezo:Wanajeshi 30 wa Ethiopia waliovamia Somalia wauawa katika mashambulio yaliofanyika mkoa wa Bakool.

Friday February 13, 2015 - 21:00:39 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1840
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Maelezo:Wanajeshi 30 wa Ethiopia waliovamia Somalia wauawa katika mashambulio yaliofanyika mkoa wa Bakool.

    Wanajeshi wavamizi kutoka Ethiopia wamekung'utwa vibaya kwenye mapigano makali yalioendelea siku tatau zilizopita katika mkoa wa Bakool Kusini Magharibi mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wanajeshi wavamizi kutoka Ethiopia wamekung'utwa vibaya kwenye mapigano makali yalioendelea siku tatau zilizopita katika mkoa wa Bakool Kusini Magharibi mwa Ardhi ya Somalia.Habari kutoka mkoani Bakool zinaeleza kuwa vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab waliwavizia Msafara wa Magari ya Wanajeshi wa Ethiopia waliosindikiza shehena za kijeshi kutoka upande wa Ogadenia na kuelekea mji wa Wajid.


Vyanzo muhimu iliyoipata SomaliMemo imethibitisha kuwa mapigano yaliodumu siku tatu yamesababisha kuawa kwa Wanajeshi Ethiopia wapatao 30 na Magari 5 ya kubeba Wanajeshi kuteketezwa kwa moto.Mapigano hayo yaliokuwa makali na kuwatwisha hasara Wanajeshi wa Misalaba kutoka Ethiopia yalifanyika kwenye Barabara zinazounganisha miji ya Wajid na Radbuurre,wanajeshi hao wa Ethiopia walikutana na mashambulio zaidi ya16 na Magari ya Wanajeshi yalionekana yakiungua kando kando mwa Barabara.


Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa Wanajeshi wa Ethiopia walikimbia na kuaacha Gari la Mizigo Barabarani baada ya risasi za Mujahidina kuzitoboa Magurudumu ya Gari hilo.


Maofisa wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamethibitisha uwepo wa mashambulio hayo dhidi ya Wanajeshi wa Ethiopia lakini hawakutaja Idadi rasmi ya hasara waliupata Maadui.


Wanajeshi wa Ethiopia wanaokutana na uvujaji mkubwa wa Damu kwenye Barabara zinazounganisha Radburre na Wajid wapo katika Ardhi ya Pori mkubwa iliyo nje ya mji wa Buurduhulle ambapo walikwam baada ya mashambulizi ya kuvizia kuwa nyingi.


Mujahidina nchini Somalia na Makabila ya Kiansaar waliokataa Wavamizi wanakabiliana vilivyo na Wanajeshi wa Ethiopia kwenye Miji na vijiji ambao umeweka makao.

Related Items