Mujahidina wa Ansaru Sheria wauteka Kikosi cha 19 cha Jeshi la Yemen.

Friday February 13, 2015 - 21:09:33 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2079
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mujahidina wa Ansaru Sheria wauteka Kikosi cha 19 cha Jeshi la Yemen.

    Habari kutoka nchini Yemen zinaeleza kuwa vikosi vya Mujahidina wameutwaa Kambi kubwa ya kijeshi ya Maadui ambapo kuna shehena mbalimbali za silaha na Magari pamoja na vifaa vya kijeshi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Yemen zinaeleza kuwa vikosi vya Mujahidina wameutwaa Kambi kubwa ya kijeshi ya Maadui ambapo kuna shehena mbalimbali za silaha na Magari pamoja na vifaa vya kijeshi.


Waandishi wa habari wamesema kwa ujumla kambi ya kijeshi ya kikosi cha 19 cha jeshi la Yemen imeingia mikononi mwa Ansaru Sheria,taarifa zaidi zinaeleza kuwa Mujahidina walifanya shambulio kubwa kwenye kambi hiyo mapema jana asubuhi na baadae kuutwaa.
Afisa wa Mujahidina wa Ansaru Sheria amewaambia vyombo vya Habari kuwa wameuteka kikosi cha 19 cha Jeshi la Yemen na kuchukua Silaha nzito waliokuwa wakimiliki Jeshi la Serikali ya Yemen,ametaja silaha hizo kuwa ni pamoja na Vifaru,Magari ya kivta na Maghala za Silaha yote yameangukia mikononi mwa Mujahidina.Vyanzo vya kuaminika viliarifu kuwa wapelelezi wa Mujahidina walipata taarifa kuhusu Wanajeshi wa Serikali kibaraka wa Yemen kutaka kukabidhi kambi hiyo kwa Wanamgambo wa kishia wa Huthi na kuiwaahi kabla ya kukabidhiwa kambi hiyo kubwa na hatimae mpango wa wanamgambo wa Kishia uliokuwa na lengo la kuwakabishia kikosi hicho cha 19 umefeli.Kikosi cha 19 cha jeshi la Yemen iko karibu na Mkoa wa Shabwah kusini mwa Ardhi ya Yemen na itakumbukwa kuwa mkoa huo kuna waungwaji mkono wengi wa Mujahidina,ni ushindi mkubwa uliofikiwa na Mujahidina wa Al-Qaida tawi la Arabuni katika mapigano yanayoendelea nchi hiyo tangu Maadui walipoutwaa mikoa mingi ya Yemen.

Related Items