Picha:Wapiganaji wa Kiislaam waibuka Tanzania na kuionya Serikali ya nchi hiyo.

Friday February 13, 2015 - 21:58:25 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 11213
  • (Rating 2.9/5 Stars) Total Votes: 44
  • 11 4
  • Share via Social Media

    Picha:Wapiganaji wa Kiislaam waibuka Tanzania na kuionya Serikali ya nchi hiyo.

    Mkanda wa video uliosambazwa kwenye mitandao ya Internet wameonekana vijana wawili wa Kiislaam waliojihami na Silaha za AK47 huko wakitoa ujumbe kwa Serikali kibaraka ya nchi hiyo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mujahidina wa Tanzania wakitoa ujumbe kwenye mkanda wa video iliyosambazwa kwenye mitandao.
Mkanda wa video uliosambazwa kwenye mitandao ya Internet wameonekana vijana wawili wa Kiislaam waliojihami na Silaha za AK47 huko wakitoa ujumbe kwa Serikali kibaraka ya nchi hiyo.Mkanda huo wa video uloweza kutizamwa kwa kiasi cha muda wa dakika 12 ulitoa pia ujumbe kwa vijana wa Kiislaam Afrika Mashariki khususan nchini Tanzania na kuwataka vijana wa kiislaam kuungana dhidi ya Adui wao.
"Ndugu zangu waislaam huu ni ujumbe kwa vijana wa Kiislaam wa Afrika Mashariki khususan nchi ya Tanzania,sisi ni vijana wenzenu tupo Mkoa wa Tanga tuliacha makazi yetu kwajili ya Allah (Subhanahu wata'alaa) na kuikufuru Utawala unaoendeshwa kinyume na Sheria za Allah" alisema Mujahidi aliyeonekana kwenye video hiyo.Alionekana mwenye kuwa na hasira huko akinyanyua Bunduki yake ya AK47 alioubeba na kuinyanyua juu na kutamka Allahu Akbar yeye na mwenzake aliyebeba Bunduki na Upanga kwenye mkono wake wa kulia wote kwa pamoja wakitamka Allahu Akbar,Allahu Akbar."Sisi ni kufru bitwaghuti,wallaahi hii ni ujumbe tunawaapa Makafiri na kuwatangazia ndugu zetu waislaam kuwa njooni tuungane wakati umefika...Allahu Akbar,Allahu Akbar".Amesema wao wako kwajili ya Allah na wameuza nafsi yao na wala hawaogopi huko wakithibitisha kufanya mashambulio kadhaa kwenye maeneo mbalimbali na kuionya Serikali ya Jakaya Kikwete.Taarifa nyingine ya kuwepo kwa mkanda mwingine wa video pia ilisambaa kwenye vyombo vya habari na kusababisha khofu,mkanda huo wa pili unamwonyesha mwanume aliyejitambulisha kwa jina la Abuu Kais Bin Abdallah ameionya Serikali ya Tanzania na kuwa mashambulio makubwa yanakuja.Abuu Kais anathibitisha kuwa wao ndio waliotekeleza mashambulio yaliofanyika vituo mbalimbali vya Polisi na kuawaua Maaskari kadhaa huko akitaja kituo cha Polisi cha Ushirombo mkoani Geita na kile cha Ikwiriri na kuongeza kuwa hakuna Mujahid aliyekamatwa. 

TIZAMA PICHA ZA MUJAHIDINA WA TANZANIA HAPA CHINI

Displaying IMG_1576.JPG

Displaying IMG_1578.JPG

Related Items