Wanamgambo 10 wa Utawala wa Puntland wauawa kwenye shambulio iliyofanyika nje ya mji wa Bosaso.

Sunday February 15, 2015 - 08:03:42 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1480
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Wanamgambo 10 wa Utawala wa Puntland wauawa kwenye shambulio iliyofanyika nje ya mji wa Bosaso.

    Kuna taarifa zaidi zilizopatikana kuhusiana na mapigano makali yaliofanyika juzi nyakati za jioni katika kijiji kilicho karibu na mji wa Bosaso makao makuu ya mikoa ya Kaskazini Mashariki mwa Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kuna taarifa zaidi zilizopatikana kuhusiana na mapigano makali yaliofanyika juzi nyakati za jioni katika kijiji kilicho karibu na mji wa Bosaso makao makuu ya mikoa ya Kaskazini Mashariki mwa Somalia.Habari kutoka eneo la Galgala zinaarifu kuwa Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya shambulio la kuvizia dhidi ya msafara wa magari ya kijeshi wa Wanamagmbo wa Utawala uliojiita Puntland na hapo waliuawa Wanamgmbo 10 wa Utawala huo.
Vyanzo muhimu iliyopatikana zinadokeza kuwa Wanamagmbo hao walioshambuliwa wakitokea upande wa Galgala na kupatikana Barabara inayounganisha miji ya Bosaso na Milima ya Golis,Wanamgambo hao waliouawa kwenye mashambulio hao ni pamoja na Afisa wa kijeshi aliyekuwa na cheo cha ukamanda katika utawala wa Puntland.Taarifa zaidi zinaeleza kuwa baadhi ya Magari waliokuwa nao wanamagambo walioshambuliwa ziliharibiwa vibaya,Afisa wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen aliyezungumza na vyombo vya habari amethibitisha kuwa vikosi vyao waliwaua wanamagmbo wengi kwenye mashambulio hayo.Katika siku 10 zilizopita Mujahidina wa milima ya Golis walifanikiwa kufanya mashambulio na milipuko kadhaa dhidi ya wanamgambo wa utawala unaofanya kazi na wavamizi wa misalaba waliojiita AMISOM na Ethiopia.

Related Items