Vikosi vya Al-Shabab wafanya mashambulio katika vituo vya Wanajeshi wa kigeni yalioko miji ya Afmadow na Mugadishu.

Sunday February 15, 2015 - 08:09:46 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2499
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Al-Shabab wafanya mashambulio katika vituo vya Wanajeshi wa kigeni yalioko miji ya Afmadow na Mugadishu.

    Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamefanya mashambulio kwenye vituo vya Wanajeshi wavamizi yalioko mkoa wa Kusini mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamefanya mashambulio kwenye vituo vya Wanajeshi wavamizi yalioko mkoa wa Kusini mwa Ardhi ya Somalia.Habari kutoka mji wa Afmadow zinaarifu kuwa mapigano makali yalifanyika usiku wa kuamkia jana ndani na nje ya mji huo.
Taarifa muhimu za kuaminika zinaeleza kuwa vikosi vya Kiislaam waliyalenga vituo vya wanajeshi wavamizi kutoka Kenya yalioko ndani ya mji wa Afmadow.Mwandishi wa habari aliyoko mji wa Afmadow aliarifu kuwa mapigano yaliodumu takriban saa nzima uliwahusisha kati ya Wanajeshi wavamizi kutoka Kenya na Jeshi la Tawhidi ndani na nje ya mji huo.Upande mwingine mashambulio makali yalifanyika dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa AMISOM yalioko mtaa wa Warshada Barafunka na Maslah Wilayani Huriwaa mjini Mugadishu.

Related Items