Ushirika wa JWTZ na FFU washindwa kuwasogeza Mujahidina wa Amboni na taarifa ya kuawa kwa Wanajeshi 7 mkoani Tanga.

Sunday February 15, 2015 - 09:36:59 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 12538
  • (Rating 3.2/5 Stars) Total Votes: 6
  • 10 2
  • Share via Social Media

    Ushirika wa JWTZ na FFU washindwa kuwasogeza Mujahidina wa Amboni na taarifa ya kuawa kwa Wanajeshi 7 mkoani Tanga.

    Makabiliano makali yamefanyika kati ya Wanajeshi Maadui wa Serikali kibaraka ya Tanzania wakishirikiana na Maaskari Polisi wa FFU na Mujahadina katika mapango ya Amboni mkoani Tanga.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Makabiliano makali yamefanyika kati ya Wanajeshi Maadui wa Serikali kibaraka ya Tanzania wakishirikiana na Maaskari Polisi wa FFU na Mujahadina katika mapango ya Amboni mkoani Tanga.Habari kutoka Mkoani Tanga nchini Tanzania zinaeleza kuwa mapigano makali yaliodumu masaa 24 ambapo yalianza tokea Alfajiri ya siku ya Ijumaa yamesababisha vifo vya Wanajeshi 7 wa Jeshi la JWTZ ambapo yaliitwa na Polisi waliozidiwa nguvu.
Wakaazi wa Kiomoni maji moto,walio karibu na mapango ya Amboni wanasema walisikia milio ya risasi na silaha nzito na hawakuweza kulala usiku kucha wakihofia maisha yao.Mpaka sasa idadi ya wanajeshi waliouawa imefikia 7 huko wengine zaidi ya 5 wakijeruhiwa vibaya kutokana na makabiliano hayo kati ya Waislaam na Maaskari wa kupambana na Ugaidi.Mkuu wa mkoa wa Tanga Said Magalula amethibitisha kuwepo vifo vya Wanajeshi pamoja na Maaskari Polisi wa FFU lakini hakuweza kutoa idadi ya waliouawa,Maofisa wa Kijeshi na Polisi wamekataa kutoa Hasara waliouapata kutokana na mashambulio hayo.Vyanzo muhimu tulioupata zinaarifu kuwa kiongozi wa nchi hiyo Rais Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete amekwishatoa Amri ya kupelekwa Wanajeshi zaidi baada ya kupokea maafa ya Wanajeshi na Maaskari Polisi.Majeruhi wote walilazwa katika Hospitali ya Bombo na wengine kupelekwa Muhimbili huko maofisa wa Afya wakizuiwa kutoa taarifa yeyote ya vifo vya Jeshi na Maaskari Polisi. Vyombo vya habari nchini pia vimezuiwa kuripoti mashmbulio hayo mengine yakiripoti kama matukio ya Majambazi na Maaskari.Related Items