Askari auawa kwenye ufyatulianaji risasi uliofanyika mjini Copenhagan nchini Denmark.

Sunday February 15, 2015 - 17:55:28 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2090
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Askari auawa kwenye ufyatulianaji risasi uliofanyika mjini Copenhagan nchini Denmark.

    Kwa uchache Askari Polisi wa Jeshi la Denmark ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa baada ya Muislaam aliyejihami na silaha kushambulia eneo waliokuwa waandishi waliowahi kumtukana Mtume Mohamed (Swala lahu aleyhi wasalam).

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Eneo la tukio alilouawa Askari mjini Copenhagan
Kwa uchache Askari Polisi wa Jeshi la Denmark ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa baada ya Muislaam aliyejihami na silaha kushambulia eneo waliokuwa waandishi waliowahi kumtukana Mtume Mohamed (Swala lahu aleyhi wasalam).Habari kutoka mjini Copenhagan zinaeleza kuwa milio ya risasi zilisikika katika jengo waliokuwa wamekutana waandishi wa habari kutoka Ufaransa na Denmark ambapo walikuwa wakijadili namna ya kuweza kuendelea na matusi dhidi Ash'aair za Kiislaam.
Mashambulio yanayotekelezwa na Waislaam walio na uchungu na dini yao yameongezeka katika siku za hivi karibuni kwenye mataifa ya Bara ya Ulaya ambayo wameonyesha wazi vita vyao dhidi ya Uislaam.

Related Items