Maaskari 27 wa Utawala wa Puntland wauawa na Al-Shabab wadai kuhusika.

Sunday February 15, 2015 - 17:57:51 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1924
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Maaskari 27 wa Utawala wa Puntland wauawa na Al-Shabab wadai kuhusika.

    Wanamgambo wa Utawala uliojiita Puntland katika mikoa ya Kaskazini mashariki mwa Ardhi ya Somalia wamekutana na hasara kubwa jana kwenye mapigano makali yaliofanyika jana eneo la Galgala.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wanamgambo wa Utawala uliojiita Puntland katika mikoa ya Kaskazini mashariki mwa Ardhi ya Somalia wamekutana na hasara kubwa jana kwenye mapigano makali yaliofanyika jana eneo la Galgala.Msemaji wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Abdulaziz Abuu Mus'ab amezungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa mapigano yaliofanyika jana waliwaua wanamgambo 24 wa PS pamoja na Wanajeshi 3 wanaojulikana Darweshi wa utawala huo wa Puntland ambao walijaribu kutoa msaada kwa wenzao wa PS.
Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamesema idadi ya jumla ya Wanamagmbo waliouawa kwenye mashambulio hayo kwa utawala wa Puntland kuwa ni 27 na majeruhi 24.

Related Items