Kufuatia kuuawa kwa Wanajeshi na Askari Polisi katika Mapango ya Amboni Utawala wa Tanzania yaongeza vikosi zaidi vya Ardhini.

Monday February 16, 2015 - 00:00:12 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 8935
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 43
  • 1 3
  • Share via Social Media

    Kufuatia kuuawa kwa Wanajeshi na Askari Polisi katika Mapango ya Amboni Utawala wa Tanzania yaongeza vikosi zaidi vya Ardhini.

    Kumepatikana taarifa zaidi kuhusiana na makabiliano makali yaliofanyika kwa siku mbili mfululizo kwenye eneo la Amboni mjini Tanga ambapo Mujahidina na Jeshi la JWTZ walikabiliana vikali na kusababisha hasara upande wa maadui.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Msafara wa Magari ya Kijeshi pamoja na Maofisa wakuu wa Jeshi la Tanzania
Kumepatikana taarifa zaidi kuhusiana na makabiliano makali yaliofanyika kwa siku mbili mfululizo kwenye eneo la Amboni mjini Tanga ambapo Mujahidina na Jeshi la JWTZ walikabiliana vikali na kusababisha hasara upande wa maadui.Jeshi la wananchi kwa kushirikiana na Polisi nchini limeongeza Askari wa vikosi vya Ardhini katika zoezi la kukabiliana na vikundi vinavyodaiwa kuwa vya kigaidi/Mujahidina katika mapango ya mleni yaliopo eneo la Amboni jijini Tanga kufuaia Askari wa Jeshi la Wananchi kuuawa kwa risasi huko wengine wakijeruhiwa katika mapigano baina yao na vikundi hivyo.
ITV imeshuhudia msafara wa Magari ya kijeshi pamoja na yale ya Maofisa wakuu wa Jeshi na hudumu ya kwanza yakipita Barabara kuu itokayo Tanga kwenda Horohoro mpakani mwa Kenya na Tanzania kisha kuingia njia iendayo katika mapango yaliodaiwa kuwa ni sehemu maalum ya maficho ya vikundi vya Kigaidi/Mujahidina na msemaji wa Polisi kamishna Paul chagonja kutwa nzima simu yake iliita bila majibu lakini msaidizi wake alipokea na kudai kuwa bosi wake yupo kwenye kikao.Hata hivyo familia zilizopo katika Mleni eneo la Mleni wanadaiwa kuhamisha makazi yao kufuatia milipuko ya risasi na silaha nzito za kijeshi zilizokuwa zikirindima katika kipindi cha siku mbili nyakati za mchana na usiku hatua ambayo baadhi makundi ya vijana yanaojihusisha na kazi za kupasua mawe katika mapango hayo kulalamikia ukosefu wa kazi kwasababu ya mapigano ambayo pia imewapa hofu ya maisha yao.

Related Items