Mashambulio yaliofanyika kituo cha wanajeshi wa AMISOM katika mji wa Jalalaqsi mkoani Hiraan.

Tuesday February 17, 2015 - 08:40:58 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1562
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Mashambulio yaliofanyika kituo cha wanajeshi wa AMISOM katika mji wa Jalalaqsi mkoani Hiraan.

    Vikosi vya Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Hiraan walifanya mashambulio usiku wa kuamkia jana na kusababisha hasara kwenye kituo cha Wanajeshi wavamizi wa AMISOM ulioko Wilaya ya Jalalaqsi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Hiraan walifanya mashambulio usiku wa kuamkia jana na kusababisha hasara kwenye kituo cha Wanajeshi wavamizi wa AMISOM ulioko Wilaya ya Jalalaqsi.Habari kutoka mkoani Hiraan zinaeleza kuwa usiku wa manane wa kuamkia jana kulifanyika makabiliano makali upande wa Kaskazini na Magharibi mwa mji wa Jalalaqsi ambapo kuna wanajeshi wa misalaba kutoka Burundi na wanamagmbo wa Serikali ya FG.


Milio ya risasi na silaha nzito waliokuwa wakirushiana zilisikika,duru za kuaminika zinaeleza kuwa mahema mawili waliojenga Maadui yaliteketea kwa moto baada ya kulengwa SIlaha nzito ya RPG.

Related Items