Vikosi vya IS nchini Libya wawakata vichwa Wakristo 21 wa Kikoptik na Al Sisi kuapa kulipiza kisasi.

Tuesday February 17, 2015 - 08:43:59 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3616
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 35
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya IS nchini Libya wawakata vichwa Wakristo 21 wa Kikoptik na Al Sisi kuapa kulipiza kisasi.

    Vikosi vya Dola ya Kiislaam nchini Libya wametekeleza hukumu ya kuuawa kwa Manaswara wa dhehebu la kikoptiki wazaliwa wa Misri ambapo kwa muda wa miezi kadhaa walikuwa wakishikiliwa nchini Libya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Dola ya Kiislaam nchini Libya wametekeleza hukumu ya kuuawa kwa Manaswara wa dhehebu la kikoptiki wazaliwa wa Misri ambapo kwa muda wa miezi kadhaa walikuwa wakishikiliwa nchini Libya.Mkanda wa video uliotolewa na kitengo cha utangazaji cha Al Hayaat iliyo chini ya Dola ya Kiislaam iliwaonyesha wakristo 21 wakikatwa vichwa vyao.
Mujahid aliyeziba uso wake alionekana akisimama juu ya wafungwa waliovalishwa nguo za wafungwa anasema "hapa ni kusini mwa mji wa Roma Ardhi ya Waislaam wa Libya ikiwa mlidai kuwa Maiti ya Sheikh Usama Bin Laden mlitupa Baharini leo hii..."Mpiganaji huyo akiendelea na mazungumzo yake ameongeza kusema kuwa "Ikiwa ujumbe kadhaa wa kuchonga vichwa vya wafungwa zilikuwa zikikuijieni kutoka Daabiq Syria basi leo hii hapa ni Libya".Miezi ya hivi karibuni Dola ya Kiislaam imejiimarisha saana nchini Libya huko wapiganaji wake wakiutwaa mitaa kadhaa ya mji wa Tripoli iliyo mji mkuu wa nchi hiyo pamoja na mji wa Sirta na Darnah.Muda mfupi baada ya hukumu hiyo iliyotekelezwa na Dola ya Kiislaam Kiongozi Dhalimu wa Misri Abdilfatah Al Sisi alitangaza vita vya wazi dhidi ya IS na pia kutangaza siku 7 ya maombolezo.Misri ilikuwa ikipigana hapo awali vikosi vinayoiunga mkono Dola ya Kiislaam walio na makao katika maeneo ya milima ya Sinai na inaonekana vita dhidi ya Utawala wa Misri imesambaa na kupanuka.

Related Items