Mlipuko mkubwa uliowalenga wanajeshi wa AMISOM katika mji wa Marka na Maaskari wa Serikali ya FG wajisalimisha kwa Al-Shabab.

Tuesday February 17, 2015 - 08:47:04 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2780
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 35
  • 2 0
  • Share via Social Media

    Mlipuko mkubwa uliowalenga wanajeshi wa AMISOM katika mji wa Marka na Maaskari wa Serikali ya FG wajisalimisha kwa Al-Shabab.

    Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa mlipuko mkubwa uliosababisha hasara imelengwa wanajeshi wa kigeni wa AMISOM waliovamia miji na vijiji viliopo mkoani humo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa mlipuko mkubwa uliosababisha hasara imelengwa wanajeshi wa kigeni wa AMISOM waliovamia miji na vijiji viliopo mkoani humo.Mapema jana mlipuko ulilengwa Gari waliokuwemo Wanajeshi wa Burundi wakati ambapo gari hilo likipita eneo la kituo cha Polisi cha mji wa Marka.
Walioshuhudia wanasema Gari hilo la AMISOM lilitegewa Bomu la kutegwa ardhini mbele ya shirika la Dahabshil iliyo karibu sana na kituo cha Polisi cha Wilaya,Gari iliyo lengwa na mlipuko huo umeharibiwa vibaya.Taarifa zaidi zinaeleza kuwa wanajeshi wa kigeni walifunga Barabara hiyo kwa muda wa dakika kadhaa na baadae walivuta Gari yao ililoharibiwa na mlipuko.Upande mwingine Askari wa Serikali shirikisho la Somalia FG katika mkoa wa Lower Shabelle amejisalimisha kwa Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen.Askari huyo aliyetajwa kwa jina la Hassan Mahamud Lidow amesema alirauka na kutembea usiku kucha akitokea Wilaya ya Walnaweyn ambapo alikuwa akifanyia kazi na hadi alipokuja katika utawala wa Kiislaam.

Related Items