Ufafanuzi:Maofisa 4 wa Serikali ya Hassan Sheikh wauawa kwenye makutano ya KM4 mjini Mugadishu na Al-Shabab yakiri kuhusika.

Wednesday February 18, 2015 - 08:33:36 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1862
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Ufafanuzi:Maofisa 4 wa Serikali ya Hassan Sheikh wauawa kwenye makutano ya KM4 mjini Mugadishu na Al-Shabab yakiri kuhusika.

    Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen yamewaua maofisaa wanne wa Serikali inayongozwa na Hassan Sheikh katika Barabara ya KM4 mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen yamewaua maofisaa wanne wa Serikali inayongozwa na Hassan Sheikh katika Barabara ya KM4 mjini Mugadishu.Walioshuhudia wanasema watu waliokuwa wamejihami na silaha ambapo walikuwa na Gari dogo walizinga mbele ya Gari lingine waliokuwemo Maofisaa wa Serikali upande wa Wizara ya Uchukuzi.
Habari zaidi zinaeleza kuwa Maofisa 4 wa Wizara ya uchukuzi waliuawa kwenye shambulio hilo.Taarifa rasmi kutoka kwa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imedai kuwa wao ndio waliotekeleza shambulio hilo na wataendelea kuwalenga maadui.Baadhi ya majina wa maofisa hao waliouawa ni pamoja na Ahmed Kediye Jim'ale alikuwa Naibu mkuu wa Uwanja wa Ndege,Mahamed Ahmed Haruun na maofisa wengine wawili abapo hatukuweza kupata maelezo rasmi.Ilikuwa jana tu kikosi maalum cha Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walipomwua Yusuf Mohamed Siyad katika Wilaya ya Darkinley ambapo alikuwa Afisa wa Wizara ya Mipango na Ushirikiano wa kimataifa.

Related Items