VIDEO:Ndege za kivita za Misri wafanya mauaji ya kinyama Mashariki mwa Libya .

Wednesday February 18, 2015 - 08:35:39 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 6674
  • (Rating 2.7/5 Stars) Total Votes: 6
  • 3 0
  • Share via Social Media

    VIDEO:Ndege za kivita za Misri wafanya mauaji ya kinyama Mashariki mwa Libya .

    Ndege za kivita za Misri zimefanya mashambulio ya kinyama kwenye miji nchini Libya masaa machache baada ya kuchinjwa makumi ya Wakristo wa dhehebu la Kikoptiki.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Ndege za kivita za Misri zimefanya mashambulio ya kinyama kwenye miji nchini Libya masaa machache baada ya kuchinjwa makumi ya Wakristo wa dhehebu la Kikoptiki.Habari kutoka nchini Libya zinaeleza kuwa watu 7 wameuawa na mashambulio ya Ndege ya Utawala wa Abdilfatah Al Sisi katika mji wa Darnah ulio mashariki mwa nchi hiyo.Mashuhuda wanasema watu waliouawa walikuwa ni raia wa kawaida wakiwemo wanawake na watoto.


Idadi ya waliojeruhiwa imefikia 17 na nyumba 8 kuharibiwa vibaya iliyo katikati mwa mji wa Darna,hata hivyo ndege za kivita za Misri zimeshambulia pia mji wa Sirta ulio katikati mwa Libya ambapo iko chini ya utawala wa Mujahidina.


Utawala wa Misri ni sehemu ya Ushirika wa Kishetani unaongozwa na Marekani pamoja na Mataifa mengine ya Kiarabu ambao ni washirika wa muungano huo ulio dhidi ya Waislaam.

TZIAMA VIDEO HAPA CHINI


Related Items