Al-Shabab wasema wameua wanajeshi 5 wa AMISOM na maofisa wa Kizungu.

Wednesday February 18, 2015 - 08:38:18 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2432
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 5
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Al-Shabab wasema wameua wanajeshi 5 wa AMISOM na maofisa wa Kizungu.

    Uongozi wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen umetoa ufafanuzi kuhusiana na makabiliano makali yaliofanyika mkoa wa Lower Shabelle ambao imewahusisha kati ya Wanajeshi wa AMISOM na Mujahidina.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Uongozi wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen umetoa ufafanuzi kuhusiana na makabiliano makali yaliofanyika mkoa wa Lower Shabelle ambao imewahusisha kati ya Wanajeshi wa AMISOM na Mujahidina.Sheikh Abdulaziz Abuu Mus'ab msemaji wa Kijeshi wa Al-Shabab amesema kuwa shambulio iliyofanyika jana katika eneo la No.60 wamewaua Wanajeshi watano wa AMISOM na Afisa mmoja wa Kizungu aliyekuwa akiongoza vita.Related Items